Mgombea ubunge wa Musoma mjini kupitia CHADEMA Vicent Nyerere akisalimiana na mmoja wa wafuasi wa chama hicho wakati wa ujio wa viongozi wao wa juu mjini Musoma
Vicent Nyerere akimkaribisha mwenyekiti wake Mh. Freeman Mbowe, na viongozi wengine Mgombea urais wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa
akiongozana na uongozi wa juu wa chama hicho baada ya kuwasili Musoma
Mji wote unasimama Dr Slaa akimtambulisha mgombea wa CHADEMA wa kiti cha ubunge Musoma mjini
Dira Ya Dunia
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment