Nawashukuru sana wananchi wote ambao huamasika na kunichangia katika mikutano ya kampeni yangu hususan katika zoezi la uchangishaji rasilimali fedha ambalo huwa naliendesha katika mikutano yangu.
Nathamini sana mchango wa kila mwananchi kuhakikisha USHINDI katika jimbo la Ubungo!Msichoke, tusaidiane tuweze kuwafikia wananchi wengi zaidi wa jimbo zima la Ubungo na haswa kulinda kura zetu kwa kuwaweka mawakala makini wa kutosha katika vituo vyote.
Nichangie Nikutumikie! Nipo tayari, wanaubungo nitumeni!!
Kamanda Hawa Mwaifunga na Judith Mahinya wakiendesha zoezi la uchangiaji katika mkutano wa hadhara wa Manzese Bakhressa Septemba 4, 2010.
0 comments:
Post a Comment