Friday, September 24, 2010
MAMBO YA KAMPENI 2010
Mgombea urais Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tarime mkoani Mara, katika mkutano wa kampeni, kwenye uwanja wa Sabasaba, jana.( Picha na Mpigapicha Maalumu).
0 comments:
Post a Comment