Nashukuru sana kwa wana wa Manzese mliojitokeza kwa wingi katika mkutano wangu wa hadhara siku ya jumamosi, Septemba 4, 2010.
Nikihutubia, nyuma wangu walioketi ni safu ya baadhi ya madiwani wangu, wakwanza kushoto Alhaji Kabunda (Kata ya Manzese), na Gerald Kipanga (Kata ya Mburahati)
Sehemu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Manzese Bakhressa
Nawashukuru sana wahamasishaji ambao walichangamsha kampeni
0 comments:
Post a Comment