Mmoja wa wakazi wa mji wa Karatu, akionyesha taa ya chemli katika mkutano wa mgombea urais wa tanzaia kupitia Chama ca Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiashiria kuongeza mwanga wa kuona zaidi maovu yanayofanyka nchini. Mkutano huoo ulifanyika kwenye Uwanja wa Bwawani mjini Karatu
Baadhi ya akinamama walihudhurua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, wakishangilia wakati mgombea huyo alipohutubia katika Uwanja wa Bwawani mjini Karatu

Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali na vifaa mbalimbali, ikiwa ni ishara ya
kumpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, alipowasili kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini TarimeWanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakimpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Tarime
0 comments:
Post a Comment