Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .
Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na Viongozi wao .
Kwa sasa namba zitakazotumika kwa michango ni
ZAP – 0786 806028
MPESA – 0766334049
Email : friendsofslaa@gmail.com
Ni vizuri ukaweka na jina lako kwenye mchango wako kama utapenda liwepo kwenye kumbukumbu .
Tunashukuru sana kwa wale wote wanaoendelea kutoa msaada wa hali na mali kwa FOS katika kutekeleza majukumu yake .
Mwanzo wa wiki Ijayo wawakilishi wa FOS toka Dar es salaam watakuwa Arusha kwa ajili ya Kuona Majeruhi Na kuendelea na jitihada za majadiliano .
Tembelea www.naombakazi.com Kwa Nafasi za kazi Kila siku
0 comments:
Post a Comment