Thursday, January 13, 2011

Mazishi ya Mashujaa Wetu Arusha

Katibu mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa akifarijiwa katika maombezi

Askofu wa KKKT kanda ya Kaskazini kati Thomasi Laizer wakibadilishana mawazo na Katibu Mkuu CHADEMA katika uwanja wa NMC kwa ajili ya kuaga miili ya wananchi waliouwawa katika vurugu la kisiasa jijini Arusha wiki iliyopita


Baadhi ya wabunge wa CHADEMA Mh. Lucy Owenya (shoto) na Mh. Halima Mdee (kati) kwenye msiba huo
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema wakiwa miongoni mwa waomblezaji waliobeba jeneza la marehemu Ismail aliyekuwa mmoja wa waliokufa katika vurugu hizotayari kwa maziko nyumbani kwao maeneo ya USA River. Marehemu Dennis Shirima alikwenda kuzikwa kwao Rombo.

0 comments:

Post a Comment