Mwenyekiti wa kamati ya mashirika ya umma na hesabu za serikali (POAC) Zitto Kabwe ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini Kupitia Chadema akitazama madini ya mchuchuma wilayani Ludewa ,madini hayo yapo nje nje kama yanavyoonekana hapa .
Thursday, March 24, 2011
Mwenyekiti wa kamati ya bunge hesabu za mashirika ya umma Mhe.Zitto kabwe
Mwenyekiti wa kamati ya bunge hesabu za mashirika ya umma Mhe.Zitto kabwe akiwatuliza wafanyakazi wa mgodi wa Kiwira ,wasihujumu mgodi huo pamoja na serikali kuchelewa kuwalipa mishahara yao
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma (POAC) Mh. Zitto Kabwe (Mb)
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma (POAC) Mh. Zitto Kabwe (Mb) (katikati) akitoa tathmini ya ziara ya kamati hiyo kukagua ufanisi wa miradi ya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) ya Mchuchuma, Liganga na Ngaka South na Shirika la NSSF kuhusu mradi wa Kiwira. Kulia ni Katibu wa Kamati Bw. Erick Maseke na Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Mh. Deo Filikunjombe.
mbunge wa mbeya mjini Chadema Mheshimiwa Joseph Mbilinyi
Mjumbe wa Kamati Jamii Bungeni na mbunge wa mbeya mjini Chadema Mheshimiwa Joseph Mbilinyi (Mr. Sugu) akichangia.



