Thursday, March 24, 2011

Zitto Kabwe Atoa Mkono wa Pole kwa Ndugu zetu wa Japan

Mbunge wa Kigoma Kaskazini -Chadema Mheshimiwa Zitto Kabwe akitia saini kitabu cha Maombolezo kwenye Ubalozi wa Japan Nchini Tanzania
Mbunge wa Kigoma Kaskazini -Chadema Mheshimiwa Zitto Kabwe akitoa pole kwa Balozi wa Japan nchini-Balozi Hiroshi Nakagawa

1 comments:

Sham said...

Ebwana nimefurahi kuiona hii blog kwani ni mmoja wa vijana mwanaharakati,kiukweli ni idea nzuri kuanzisha hii kitu.Jaribu vilevile kutembelea www.jigambe.com,www.TanzaniaKwetu.com na www.jigambeAds.com hizo nazo ni za kwetu wanaharakati.Ila namuona kaka Zito kawa kama Mwanafunzi fulani hivi!

Post a Comment