*Jumla ya mashimo tisa(9) yamekwishachimbwa. Matokeo ya awali yanaonyesha kuwepo kwa makaa mengi.
Kampuni ya MM Steel Resources Public Limited Company ilishinda zabuni ya kuzalisha chuma ghafi(sponge Iron) na watazalisha umeme wakitumia makaa ya mawe kutoka Katewaka.
Serikali Kupitia Waraka wa Baraza la Mawaziri Na.14 wa mwaka 2007 iliamua kuwa “ Vilima vidogovidogo vichimbwe kwa utaratibu wa ‘Kasi Mpya’, yaani wawekezaji wadogo na hasa Watanzania wapewe vilima vidogo kuchimba Makaa ya Mawe na Chuma”
*Mgodi wa Makaa ya mawe utazalisha kwa kiwango cha tani 330,000 kwa mwaka.
0 comments:
Post a Comment