Monday, September 27, 2010

CHANGIA JOHN MNYIKA CHANGIA CHADEMA UBUNGO

Changia kampeni za John Mnyika.

Saturday, September 25, 2010

CHAGUA DR SLAA - CHAGUA CHADEMA

Dk. Wilbroad Slaa




Mgombea wa ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Karatu,mchungaji Israel Yohana Natse akihutubia maelfu ya wananchi wa mjini Karatu.




Aliyekuwa Mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha CCM,na baadae akahamia chama cha CHADEMA hivi karibuni,John Shibuda akizungumza mbele ya wananchi leo jioni wakati chama hicho kilipokuwa kikizindua kampeni na Ilani yake katika viwanja vya Jangwani na kuhudhuriwa na mamia ya watu.


CHADEMA NURU MPYA TANZANIA 2010

MTITI WA WANACHADEMA








CHAGUA HALIMA MDEE UBUNGE KAWE


Picha ya pamoja Mbunge na Diwani kwa tiketi ya
Chadema pamoja na viongozi wa kikundi cha wavuvu
Msasani mwisho

CHAGUA CHADEMA CHAGUA HALIMA MDEE



Mbunge na Madiwani


Mgombea Ubunge wa jimbo la kawe Halima Mdee
akitoka katika moja ya vikao vya ndani alivyo fanya
na wananchi wa kata ya Msasani

CHADUA JOSEPH ALBERT MWAHELEJA KATA YA MSASANI


Mgombea udiwani kata ya msasani

VIJANA WAMUUNGA MKONO DR SLAA NA CHADEMA

WAKELEKETWA WA CHADEMA



Kijana MAKONDEKO akiselebuka na matarumbeta

siku hiyo alitembea toka Msasani mpaka Jangwani








Raster na vijana wenzake kutoka Masaki