Tuesday, November 2, 2010

GODBLESS LEMA - ARUSHA MJINI

Pichani ni Mbunge mteule wa jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA Godbless Lema akiwa anaondoka katika ofisi ya halmashauri ya jiji la Arusha mara baada ya kutangazwa kuwa mbunge akiwa anasindikizwa na wanachi pamoja na wapambe wake. Mh. Lema amepata kura 56, 569 dhidi ya Dk. Batilda Burian wa CCM aliepata kura 37,460. Picha na Woinde Shizza

1 comments:

Rogers Julius said...

Mheshimiwa mbunge ushindi ulioupata hapa Arusha ulifanya CCM wakaugua shinikizo la damu. Sasa ushindi wa kesho hapo bungeni utawafanya CCM wapoteze maisha. Tuko pamoja Rais wa Arusha

Post a Comment